Najnowsze artykuły: Fikisha App: Programu tumishi inayokuletea kondomu ulipo KenyaSasa kuna suluhu. Kampuni moja nchini Kenya kwa jina Ad Visions imeanzisha programu tumishi kwa jina 'Fikisha' inayoweza kutumika kununua mipira tofauti ya kondomu na kukuwasilishia pale ulipo.